Na 11 Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, 2022 SEHEMU SABA UCHUNGUZI WA MALALAMIKO 39. 40. 41. 42. 43. 44. 45. 46. 47. 48. 49. 50. Malalamiko dhidi ya ukiukwaji wa misingi ya ulinzi wa taarifa binafsi. Notisi ya uchunguzi. Usiri wa uchunguzi. Mamlaka ya Tume wakati wa uchunguzi. Kuizuia Tume. Kutumia msaada wa mtu au mamlaka nyingine. Notisi ya utekelezaji. Notisi ya adhabu. Faini za kiutawala. Marejeo ya uamuzi. Haki ya rufaa. Malipo ya fidia. SEHEMU YA NANE MASHARTI YA FEDHA 51. 52. 53. 54. 55. 56. 57. Vyanzo vya fedha za Tume. Usimamizi wa fedha. Makadirio ya mapato na matumizi na udhibiti wa fedha. Matumizi ya fedha. Makadirio ya nyongeza. Akaunti na ukaguzi. Taarifa za kila mwaka na mikataba ya utekelezaji. SEHEMU YA TISA MASHARTI MENGINEYO 58. 59. 60. 61. 62. 63. 64. 65. Mazingira yanayoondolewa katika mawanda ya Sheria hii. Amri ya uhifadhi. Makosa ya ufichuaji wa taarifa binafsi kinyume cha sheria. Makosa ya uharibifu, ufutaji, ufichaji au ubadilishaji wa taarifa binafsi kinyume cha sheria. Makosa yanayotendwa na kampuni au shirika. Adhabu ya jumla. Kanuni. Kanuni za maadili ya ulinzi wa taarifa binafsi. 3

Select target paragraph3