Na 11 17. 18. 19. 20. 21. Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, 2022 Ukaguzi wa taarifa zilizosajiliwa. Kufutwa kwa usajili. Makosa yanayohusiana na usajili. Rufaa kuhusiana na usajili. Usajili wa taasisi za umma. SEHEMU YA NNE UKUSANYAJI, UTUMIAJI, UFICHUAJI NA UHIFADHI WA TAARIFA BINAFSI 22. 23. 24. 25. 26. 27. 28. 29. 30. Ukusanyaji wa taarifa binafsi. Chanzo na utoaji wa taarifa binafsi. Usahihi wa taarifa binafsi. Taarifa binafsi kutumika kwa madhumuni yaliyokusudiwa. Mipaka ya ufichuaji wa taarifa binafsi. Usalama wa taarifa binafsi. Uhifadhi na utoaji wa taarifa binafsi. Usahihishaji wa taarifa binafsi. Katazo la uchakataji wa taarifa binafsi nyeti. SEHEMU YA TANO USAFIRISHAJI WA TAARIFA BINAFSI NJE YA NCHI 31. 32. Kusafirisha taarifa binafsi kwenda nchi yenye ulinzi wa kutosha wa taarifa binafsi. Kusafirisha kwenda nchi isiyo na ulinzi wa kutosha wa taarifa binafsi. SEHEMU YA SITA HAKI ZA WAHUSIKA WA TAARIFA 33. 34. 35. 36. 37. 38. Haki ya kupata taarifa binafsi. Haki ya kuzuia uchakataji unaoweza kumuathiri mhusika wa taarifa. Haki ya kuzuia uchakataji wa taarifa binafsi kutumika kwa madhumuni ya utangazaji wa biashara. Haki kuhusiana na uamuzi unaofanywa kiotomatiki. Haki ya fidia. Kurekebisha, kuzuia, kufuta na kuharibu taarifa binafsi. 2

Sélectionner le paragraphe cible3