Na 11 Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, 2022 binafsi. (2) Kanuni au sera chini ya kifungu kidogo cha (1) zitawasilishwa kwa Tume kwa ajili ya mapitio na kuidhinishwa. (3) Wakati wa mapitio wa kanuni au sera za maadili, Tume itajiridhisha, pamoja na mambo mengine, endapo rasimu za kanuni au sera za maadili zilizowasilishwa zimezingatia masharti ya Sheria hii na ya sekta husika na pale itakapoona inafaa, inaweza kutafuta maoni ya wahusika wa taarifa au wawakilishi wao na kushauriana na mkusanyaji husika kwa madhumuni ya kufanya marekebisho muhimu kabla ya kuziidhinisha. 34

اختر الفقرة المستهدفة3

الاتصال بفقرة
Connect to an entity
Disable highlights
أضف إلى جدول المحتويات